Smart Solar Station 300w: Betri Ya 280ah, Uhakika Wa Umeme Saa 24
Kampuni
1/2
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
6 maoni
Smart Solar Station 300w: Betri Ya 280ah, Uhakika Wa Umeme Saa 24
+1
SAko power station
Chapa
Vituo vya Umeme vinavyobebeka
Aina
LiFePO4
Aina ya Betri
896Wh
Uwezo wa Nishati
280aH
Uwezo wa Betri
300watts
Umeme wa Kituo
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Umechoka na kero ya kukatika kwa umeme?
Katika video hii, tunakuonyesha uwezo wa Alpha ESS-300W Power Station. Hiki ni kifaa kidogo kinachoweza kuwasha TV, feni, laptop, na taa kwa saa nyingi sana bila kelele wala moshi.
Mchanganuo wa haraka:
Smart TV: Masaa 15 - 18.
Feni: Masaa 18 - 20.
Simu: Mara 60+.
Inachajiwa na: Solar Panel au
Umeme wa Tanesco.
Sifa za Kiufundi:
Capacity: 896Wh (Betri kubwa ya 280Ah).
Output: 300W (Inverter imejengwa ndani).