Nunua Sasa Taa Solar 2400w Mwanga Mkali, Bei Poa Tanzania!
+1
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
114 maoni
Nunua Sasa Taa Solar 2400w Mwanga Mkali, Bei Poa Tanzania!
Sukhig
Chapa
Taa za Biashara
Aina
Chapa Mpya
Hali
Taa za Mtaa za Jua
Aina ndogo
2400watts
Nguvu nyepesi
LED
Chanzo cha Mwanga
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Sukhig 2400w all-in-one solar street light mwanga mkali bila bili ya umeme!
taa ya solar yenye nguvu kubwa (2400w equivalent) na 24 led eyes inatoa 24,000-30,000 lumens!
inafaa barabara, viwanja, shule, hospitali na maeneo makubwa.
vipengele muhimu:
paneli monocrystalline 60w inachaji saa 5-6.
betri lithium: 50,000-60,000mah inawaka masaa 12-15 usiku.
pir motion sensor + dusk-to-dawn auto.
ip65 waterproof, alumini sturdy, -20°c hadi +65°c.
mwanga 6500k daylight white, urefu 7-10m.
dhamana 1-2 miaka