tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ukarabati na Ujenzi
  3. Vifaa vya umeme
  4. Jenereta
  5. GE Vifaa vya umeme
Dar es Salaam, Kinondoni, 33 min ago
1 maoni

Generator for Sale

Chapa
Jenereta
Aina
Jenereta ya Nyumba
Aina ndogo ya Jenereta
Diesel
Mafuta
40kW
Nguvu
240 V
Voltage ya Jenereta
Chapa Mpya
Hali
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
Bila malipo
Tunauza brand new generators zipo za ukubwa tofauti kwanzia kva 20 na kuendelea njoo inbox au whatsapp niambie unahitaji la ukubwa gani nikupe bei... bei zetu ni rafiki mno, na bidhaa zetu ni bora sana ... *ukinunua generator kwetu utapata:-* 1. warrant miaka miwili (2) 2. ndani ya hiyo miaka miwili utafanyiwa service kila baada ya siku 90 bure kabisaaa 3. kwa mkazi wa dar es salaam delivery ya mashine kwenda kwenye eneo lako ni buure kabisa... habari njema kwa wale wateja wa kva kwanzia 100 kuendelea tumeanzisha mfumo wa kulipia kwa awam wasiliana nasi sasa tukuhudumie
Generator for Sale
TSh 21,000,000
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif