tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ukarabati na Ujenzi
  3. Vifaa vya Kielektroniki
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
8 maoni

100W Taa Solar Floodlight Kila Mtu Apate

+1
Alltop
Chapa
Solar Lights
Aina
100watts
Nguvu nyepesi
3V
Volteji ya Ingizo
Brand New
Hali
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
TSh 7,000 - 15,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚 | Showrooms: Mwenge, Msasani, Kariakoo
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Taa ya floodlights 100w hii ni taa ya solar ambayo inakuwa taa peke yake kama iyo kwenye picha na pia inakuwa na panel yake peke yake. hapo ili iwe full set unapata taa, panel, rimont, nati zake na fimbo yake fupi ya kufangia kwa wewe unaeitaji kufanya mount unaweza ndio kufanya mount taa yako yani kutengenezea bomba kubwa ili taa ijitegemee yenyewe. lakini kama unaweza kutumia kufunga ukutani basi utafunga kwa bomba lake fupi. taa inafaa kufunga kwenye viwanja vya michezo, kwa wenye ofisi za kuuza magari taa inafaa sana kufunga hapo, kwa wale wa majumbani, shuleni, sheli, nk taa inafaa kufunga pia. hapa nakupa maelezo mafupi kuhusu taa sifa zake. led lamp: 5730 led 3000k 57pcs + 6000k + 57PS solar panel: 6v 8w, polycrystalline battery type: lifepo4 3.2v 6000mAh charge time 6-8hours discharge time 12-15hours warranty 1 years
TSh 95,000
Bei isiyobadilika
37 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif