tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ukarabati na Ujenzi
  3. Mabomba na Mifumo ya Maji
  4. Mabomba na Mifumo ya Maji
Dar es Salaam, Kinondoni, 28/05
8 maoni

Pressure Washers Gun

+1
3
Chapa Mpya
Hali
mo
Chapa
pressure washers gun
Aina
Mashine ya kuosha gari, kutoa vumbi kwenye madirisha, kumwagilia bustani inatumia betri unakuwa una licharge. mashine hii haitumii umeme kabisa wa moja kwa moja. . sifa zake na ubora wake 1. ina presha kali yenye nguvu ya watts zaidi ya 300w. 2. ina uzito wa kilo 1.84 ukiibeba mkononi haichoshi unapokua unaitumia 3. betri ina volti 48 tu 5. inatumia maji kidogo sana ina mdomo mdogo sana wa kutolea maji. mashine hii ni maji kidogo kazi kubwa. . inafaa kwa watu wafuatao kuosha gari nyumbani, kutoa vumbi kwenye vioo kwa mashine hii ya presha kubwa. kusafisha vigae viweze kung’aa vizuri kwa kutumia maji kidogo wenye biashara ya car wash unaweza kuosha gari nyingi tu baada ya umeme kukatika. vijana ambao mmejiajiri kuosha magari. mashine hii inafyonza maji kutoka kwenye ndoo na kuosha gari. kumwagilia bustani na maua kama una eneo kubwa.
Pressure Washers GunPressure Washers Gun
TSh 160,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif