tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ukarabati na Ujenzi
  3. Mabomba na Mifumo ya Maji
  4. Valve Mabomba na Mifumo ya Maji
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, 37 min ago
12 maoni

Drip Mini Valves

+1
Other
Chapa
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Hutumika kugawa zones kila sehemu ya shamba inaweza kuwa na valve yake kwenye zone ya nyanya, zone ya vitunguu, zone ya pili pili na hutumika kufanyia matengenezo kama drip moja inavuja unazima valve hiyo tu bila kuzima system nzima kwa sababu ipo kama koki ya kufunga na kufungua kulia na kushoto.Lakini pia hutumika katika greenhouse, shade net na nursery.
Onyesha anwani
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif