tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ukarabati na Ujenzi
  3. Mabomba na Mifumo ya Maji
  4. Water Treatment Mabomba na Mifumo ya Maji
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 iliyopita
4 maoni

Digital TDS Meter

+1
Other
Chapa
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
je, unajua ubora wa maji unayotumia? digital water quality tester (ble-9908) pima na kufahamu ubora wa maji yako kwa kutumia kifaa hiki cha kisasa chenye uwezo wa kupima: tds – kiwango cha madini na chumvi zilizoyeyuka kwenye maji. ec – uwezo wa maji kupitisha umeme. ph – kiwango cha asidi au alkali kwenye maji. temp – joto la maji. rahisi kutumia kinafaa kwa wataalamu wa water treatment kinafaa kwa ukaguzi wa mifumo ya ro na uchunguzi wa awali wa maji usikisie ubora wa maji, pima kwanza! kwa oda na maelezo zaidi071XXXXXXX
Digital TDS Meter
TSh 250,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif