FAT TYRE E-BIKE – SPIRIT
Baiskeli ya umeme yenye muonekano wa kisasa na matairi makubwa (Fat Tyres), imetengenezwa kwa ajili ya safari za mjini na maeneo yenye barabara tofauti.
Features:
Fat Tyres kubwa na imara
Motor ya umeme kwa usafiri rahisi
Battery inayoweza kuchajiwa
Disc brakes kwa braking salama
Front suspension kwa comfort zaidi
Muonekano wa kisasa wa Black & Red
Inafaa kwa matumizi ya kila siku na safari za burudani
Inapatikana ROMK CYCLES HUB
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na bei.
Ride in Style. Ride with Power. Ride with SPIRIT!