tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Bidhaa za Mitandao
  4. Mifi
  5. Bidhaa za Mitandao
Dar es Salaam, Kinondoni, 03/06
7 maoni

Yas Mifi Unlimited Internet

+1
Mifi
Aina
yas
Chapa
4G
Mfano
150 Mbps
Kasi ya juu ya LAN
4G
Viwango vya Mtandao wa Simu
12hours
Maisha ya Betri
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
dar es salaam
06:00-18:00
4G Plus Pocket Router Mpya kutoka YAS! Unatafuta internet ya kasi na ya uhakika popote ulipo? Pata suluhisho sahihi kwa kutumia 4G Plus Pocket Router yenye uwezo mkubwa lakini ndogo na rahisi kubeba. Gharama ya Kuanza (Mara ya Kwanza Tu): • Router: TSh 50,000 • Bando la UNLIMITED (Mwezi mzima): TSh 70,000 Jumla ya mwanzo: TSh 120,000/= Baada ya hapo utalipia TSh 70,000 tu kwa mwezi kwa internet UNLIMITED – bila presha ya kuishiwa GB. Uwezo wa Router: • Inaunganisha hadi vifaa 10 kwa wakati mmoja (simu, laptop, smart TV n.k.) • Ndogo na rahisi kubeba popote ulipo • Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, dukani au safarini Tunafanya delivery
Yas Mifi Unlimited Internet
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif