tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Biashara na Viwanda
  3. Huduma za Biashara
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 10 yaliyopita
32 maoni

Huduma Ya Kuchanganya Chakula Za Mifugo

+1
Frana7ways Feeds
Jina la kampuni
Chakula
Bidhaa
Hapana
Udhamini
1days
Muda wa Kiongozi
Miaka tatu
Uzoefu wa Kazi
12
Idadi ya chini ya Vipengee
Hapana
Zungusha Huduma ya Saa
Chakula chako • formula yako • brand yako • sisi tunachanganya na kupelletize. frana7ways feeds inakupa huduma ya kuchanganya na kutengeneza pellets (punje) kwa kutumia malighafi na formula yako zako au zetu kwa ajili ya mifugo yako yote huduma zetu • mixing / kuchanganya chakula • pelletizing / kutengeneza chakula cha punj • kutumia formula yako mwenyewe • unaweza kuleta malighafi zako • uwezo wa kuchakata hadi tani 1 kwa saa • huduma kwa wafugaji, vikundi na wafanyabiashara • delivery inaweza kupatikana kwa makubaliano leta malighafi zako na formula yako — frana7ways feeds itakuchanganyia na kukutengenezea pellets tayari kwa matumizi. tunapatikana kiluvya madukani, ubungo –dar es salaam,
Huduma Ya Kuchanganya Chakula Za Mifugo
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Angalia Maoni ya wengine ili kuhakikisha kuwa mtu huyo anaaminika
  • Fanya maafikano kuhusu majukumu yako na mshahara utakaolipwa
  • Kutana ana kwa ana na mtu katika sehemu salama ya umma
frame_left.gif