tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Vifaa na zana za kibiashara
  3. Vifaa vya uzalishaji
  4. Mixer Vifaa vya uzalishaji
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 9 yaliyopita
1 maoni

The Sand Mixer

+1
sand mixer 500L
Aina
Chapa Mpya
Hali
350kg
Uzito
Sand Mixer 500L Capacity: 500 litres Motor: 7.5 kW Inafaa kwa kuchanganya mchanga, cement, maji na materials nyingine kwa ajili ya uzalishaji wa matofali. Inafaa zaidi kwa uzalishaji mkubwa, kwa sababu inachanganya material nyingi kwa wakati mmoja. Husaidia kupata mchanganyiko ulio sawa na kupunguza muda wa uzalishaji. Sand Mixer 350L Capacity: 350 litres Motor: 5.5 kW Inafaa kwa uzalishaji mdogo hadi wa kati wa matofali. Ni rahisi kutumia na ina uwezo mzuri wa kuchanganya materials kwa ajili ya block making. Tofauti: 500L ni kubwa na ina motor ya 7.5 kW, hivyo inafaa zaidi kwa production kubwa. 350L ina motor ya 5.5 kW na inafaa zaidi kwa production ya kati.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif