tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Vifaa na zana za kibiashara
  3. Vifaa vya uzalishaji
  4. Kiwanda cha Matibabu ya Maji
  5. Vifaa vya uzalishaji
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 11 yaliyopita
2 maoni

Small Scale Machine

+1
Chapa Mpya
Hali
Kiwanda cha Matibabu ya Maji
Aina
7L/h
Uwezo wa Uzalishaji wa Mimea
0.1kW
Nguvu ya Jumla ya Mimea
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Mbezi Beach Africana
08:00-17:00
STAINLESS STEEL TANK 304 materials Stainless steel tanks Tanzania Ni watengenezaji pekee wa stainless steel tank kwa matumizi mbalimbali ikiwemo majumbani , maofisini, mashuleni,vyuo mpaka kwenye viwanda kwa kuhifadhia maji, chemical viwandani, kuhifadhi dawa mbalimbali ,,pombe, Asali,mafuta,na vitu vingine vinavyowez kuhifadhika kwenye tank SIFA ZINGINE ZA STAINLESS STEEL TANK Haziwezi kushika kutu haziruhusu bacteria kuzaliana ndani haziathiliwi na Mwanga wa jua Hudumu kwa muda mrefu unaweza kuhifadhi aina yeyote ya kimiminika kwa muda mrefu bila kuharibika Hudumu kwa muda mrefu tofauti na tank za plastic smooth nd beautiful surface
TSh 800,000
Inaweza kujadiliwa
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif