tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Vifaa na zana za kibiashara
  3. Vifaa vya uzalishaji
  4. Mashine za Maji Safi
Dar es Salaam, Kinondoni, 02/06
102 maoni

Machine Za Kuchuja Chumvi/Magadi Kwenye Maji

+1
5
Mashine za Maji Safi
Aina
Chapa Mpya
Hali
ni machine zenye filters na r.o zinazochuja chumvi,magadi kwenye maji na kuondoa harufu mbaya, ladha mbaya, rangi,mchanga na kuua bacteria wabaya kwenye maji .maji yatakuw malaini, matam, safi na bora kwa afya....zinatengenezwa machine zenye uwezo wa kuchuja maji kuanzia lita 500 kwa lisaa na kuendelea. zinatumika majumbani, hospitalini, shuleni, na viwandani tunatoa ushauri kwa wateja wetu.....kwa kuwapa elimu, juu ya mashine zitakazo wafaa kulingana na mahitaji yao. kama vile kwa mahitaji ya biashara ya maji au matumizi tu ya nyumbani huwa tunayapima maji kwanza tujue yanakiwango kipi cha chumvi au magadi ili kuwapa machine zenye material na uwezo kulingana na maji/ripoti ya maji ya mteja. kwenye picha ni machine inayoweza kuchakata lita 500 kwa lisaa mpaka 1000 , bei ya machine inayosafisha lita 500 kwa lisaa ni milioni 5 na laki 5 maongezi yapo. karibuni wonderful group limited, iliyopo mbezi beach africana jijini dar es salaam.
TSh 5,500,000
2 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif