Air and gas powered gold melting furnace.
Jiko imara kutoka India, ni jiko maalumu Kwa kuyeyushia dhahabu kwa kutumia gas.
Hutumia fan ndani yake kwa ajili ya kuzalisha upepo ili uweze kusapoti moto mkali kuwaka na kuyeyusha dhahabu ndani ya muda mfupi.
Weka oda yako mapema.