Taa Za Solar Za Ukutani Nje Zinapatikana Hapa 45,000 Tu! Pc 1
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 2 yaliyopita
15 maoni
Taa Za Solar Za Ukutani Nje Zinapatikana Hapa 45,000 Tu! Pc 1
+1
Taa za Nje
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam
Online orders & delivery 🚚
Mikoa yote Tanzania mzigo wako unapata kwa uaminifu mkubwa
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:00
Reflector ya sola yenye paneli inayochaji mchana na kuwasha usiku kiotomatiki. Inatoa mwanga wa joto (3500K), inadumu masaa 6–8 baada ya chaji ya masaa 4–6. Ni rahisi kufunga, haina gharama ya umeme, na ina ulinzi IP67 dhidi ya mvua na joto. Inafaa bustani, baraza, geti, njia na biashara.
Bei: TSh 45,000/=