Solar Wall Lights (Waterproof) – Taa Za Ukutani Za Solar
1/3
Dar es Salaam, Kinondoni, 01/10
19 maoni
Solar Wall Lights (Waterproof) – Taa Za Ukutani Za Solar
+1
1
Taa za Nje
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam, Kinondoni
Agiza sasa hapa
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-21:00
Acha kuingia gharama za umeme wa taa za nje! Uza kero ya giza nyumbani kwako kwa kutumia Solar Wall Lights zenye ubora wa juu.
Sifa kuu za Bidhaa:
100% Waterproof: Haziharibiki na mvua wala jua kali (ziweke nje bila wasiwasi).
Automatic: Zinajiwasha zenyewe giza likiingia na kujizima asubuhi.
Gharama za Umeme TZS 0/=: Zinatumia mwanga wa jua pekee.
Ufungaji Rahisi: Hazihitaji wiring wala fundi umeme, unafunga mwenyewe kwa dakika chache tu.
Inafaa kwa ajili ya mageti, kuta za nje, bustani (garden), na korido.