tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Kutafuta Kazi - CV
  3. CV za kisheria
Dar es Salaam, Kinondoni, 01/08
5 maoni

Afisa Sheria

+1
Uzoefu wa Kazi ya Kisheria
chini ya mwaka moja
Aina ya kazi
Muda
Hali ya Ajira
Wasio na ajira
Jinsia
Wanawake
Hali ya Ndoa
Moja
Umri
25
Elimu
Nina Elimu ya shahada ya sheria kutoka Katika chuo cha Tumaini university Dar es salaam
Bado Anasoma
Hapana
Ujuzi
1.Utafiti wa sheria na kesi mbalimbali ili kusaidia mawakili. 2.Uandishi wa nyaraka za kisheria kama hati za madai, viapo, na mikataba. 3.Upangaji wa majadala ya kesi, uwekaji wa kumbukumbu, na kufuatilia tarehe za mahakama. 4.Kusikiliza wateja, kuchukua maelezo yao, na kuwapa ushauri wa awali. 5.Nafahamu jinsi ya kusajili nyaraka mahakamani na taratibu za mabaraza mbalimbali. 6.Ujuzi wa usuluhishi wa migogoro nje ya mahakama.
Lugha
English Swahili
Vyeti
Cheti cha form four Cheti cha form six Cheti cha shahada ya sheria
Uhitimu wa Juu Zaidi
Shahada
Marejeo
JOMWA ATTORNEYS RUVUMA,TANZANIA
1.Nilipitia na kuandaa mikataba ya ajira, sera za rasilimali watu, na mikataba ya siri ili kuhakikisha zinazingatia sheria ya ajira. 2. Niliandaa fomu za rufaa na hati za madai kwa ajili ya kuwasilisha Tume ya Usuluhishi na Uamuzi - CMA 3. Niliwasaidia mawakili kuandaa kesi za migogoro ya ajira, nikifanya uchambuzi wa awali wa kufukuzwa kazi kinyume cha sheria, uvunjaji wa mikataba, na madai ya kiinua mgongo.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usifichue maelezo yako ya kibinafsi
  • Fanya utafiti wako kabla ya kumwalika mtu yeyote kwa mahojiano
  • Usifungue linki ambayo haijajumuishwa kwenye wasifu wa anayetafuta kazi
  • Fanya mahojiano katika mazingira salama na salama ya ofisi
frame_left.gif