Ni kikombe cha kisasa cha kielektroniki kilichoundwa ili kurahisisha utayarishaji wa vinywaji bila kuhitaji kijiko cha kukorogea.
Inachajiwa (Type-C Charging): Hakihitaji betri za kawaida za kuziweka na kuzitoa. Kikombe hiki kina betri ya ndani inayochajiwa kwa kutumia kebo ya Type-C (kebo inayotumiwa na simu nyingi za kisasa).