Vijiko vya Silicon vya kupikia chakula ni vijiko vizuri ambavyo vina faida zifuatazo:
1. Havikwaruzi sufuria yako
2. Havishiki joto
3. Salama kwa afya yako
4. Hudumu kwa muda mrefu
5. Hufanya jiko lako liwe nadhifu
Seti hii ina vifaa 12 vitakavyokusaidia katika mapishi yako ikiwemo:
• Kijiko cha Supu (Soup Ladle)
• Mwiko wa Kukaanga Mwembamba (Slotted Turner)
• Mwiko wa Kukaanga Mgumu (Solid Turner)
• Kijiko Kikubwa cha Kulia (Solid Spoon)
• Kijiko chenye Matundu (Slotted Spoon)
• Kiko cha Tambi (Pasta Server)
• Spatula Laini (Flexible Spatula/Scraper)
• Kijiko-Spatula (Spoonula)
• Brashi ya Jikoni (Basting Brush)
• Kishikio cha Chakula (Kitchen Tongs)
• Mchapio wa Mayai (Whisk).
• Kopo la Kuhifadhia (Storage Holder)