Nyumba inauzwa milioni 250 maongezi yapo ipo Tabata kinyerezi kifuru Nyumba inavyumba vinne vyumba viwili ni master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic ukubwa wa eneo ni SQMT 1200 document sales agreement (Hati iko mbioni kutona mteja akinunua Hati inatoka kwa jina la mnunuzi maji dawasco umeme vyote vipo (Nyumba ni mpya kabisa haijakiliwa na mtu