tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Kemikali za nyumbani
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 5 yaliyopita
15 maoni

JCK Sinks N Tiles Cleaner | Dawa Ya Kusafisha Masink Na Tile

+1
1
JCK CLEANER
Chapa
Visafishaji vya Bafu na Vigae
Aina
Kioevu
Fomu
1L
Kiasi
Nyingine
Manukato
JCK ni DAWA YA USAFI WA NYUMBANI INA KAZI ZAIDI YA MOJA. Inatokomeza uchafu sugu kwenye tiles na sinks kwa muda mfupi bila gharama kubwa. Kung'arisha tiles, zote za ukutani na sakafuni masink na vyoo. Kusafisha oven,microwave,majiko ya gas na umeme. FAIDA 1. JCK huondoa uchafu sugu katika sinki ya choo,jiko,na kuacha katika mng'ao mzuri na kumelemeta. 2. Huondoa uchafu na vumbi nyembamba linalosababisha Tiles kuonekana na uchafu sugu utakaokusumbua mbeleni,lakini JCK huondoa kabla haujajikisanya pamoja. 3. Huondoa mafuta na takataka na kutu iliyoganda ndani ya oven, fridge,jiko la gesi na umeme. Tumia maji ya kutosha kusuuza kuepuka madhara ya kemikali. 4.Huondoa uchafu sugu katika milango na madirisha ya aluminum. Jipate kwa Bei ya punguzo. + au + Tupo SINZA KWA REMI. Tunasafirisha nchi nzima.
TSh 10,000
Inaweza kujadiliwa
2 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif