tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Huduma
  3. Huduma za Afya na Urembo
Dar es Salaam, Kinondoni, 30/05
49 maoni

Namna Bora Ya Kupungua Uzito Na Kupata Matokeo Mazuri

+1
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 09:30-10:30
Watu wengi wanashindwa kupungua uzito kwa sababu wanaamini kuwa mazoezi na lishe ni njia sahihi ya kupunguza uzito, na failure yakupungua inakuja pale utakapoanza mazoezi na kukata tamaa ndani ya siku chache, sasa mwili wako unahitaji uusafishe kwanza ndio lishe pamoja na mazoezi vitakupa matokeo yanayoonekana kwa haraka, sasa karibu kwenye the FIT PROGRAM, program ambayo itakuwezesha wewe kusafisha mwili wako ndani ya siku chache na pia kubalance mwili wako kwa mazoezi na lishe muhimu ambayo ina hatua kadhaa ,hatua ya kwanza utaanza na c9 program ambayo itasafisha mwili wako na pia utapunguza uzito kwanzia kilo 6 mpaka 9 ndani ya siku tisa tu, hatua hii ni muhimu kwa mtu yoyote kwakuwa inasupplement zote muhimu mwili wako huhitaji, na baada ya hii hatua utafanya hatua inayofata kama utapenda kupungua zaidi ambayo ni F15 ambapo hapa sasa utaamua kupunguza kilo zingine 15 mpaka 20. kwa uelewa zaidi wasiliana nasi...
TSh 345,000per service
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Angalia Maoni ya wengine ili kuhakikisha kuwa mtu huyo anaaminika
  • Fanya maafikano kuhusu majukumu yako na mshahara utakaolipwa
  • Kutana ana kwa ana na mtu katika sehemu salama ya umma
frame_left.gif