tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Fanicha
  4. Vitanda
  5. Es Fanicha
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 6 yaliyopita
1 maoni

Vitanda Vya Kisasa Vya Mbao Imara – Ubora Unaodumu!

+1
Wood-Mode
Chapa
Vitambaa na Fremu za kitanda
Aina
Chapa Mpya
Hali
Nyingine
Umbo
Vitanda vya Kisasa vya Mbao Imara – Ubora Unaodumu! Tunatengeneza vitanda vya kisasa kwa kutumia mbao bora zenye uimara wa hali ya juu. Mchanganyiko wa Mninga + Softwood Size 5/6 – TSh 1,400,000/= Size 6/6 – TSh 1,500,000/= BEDSIDES ni 400,000 Mbao Halisi za Mninga au Mkongo Pekee Size 5/6 – TSh 2,400,000/= Size 6/6 – TSh 2,500,000/= Ubora wa hali ya juu Muundo wa kisasa na wa kuvutia Imara na hudumu kwa miaka mingi Delivery ni BURE ndani ya Dar es Salaam. Kwa wateja wa mikoani, tunasafirisha kwa gharama nafuu huku tukitoa usimamizi wa karibu hadi kuhakikisha mzigo wako unakufikia salama kupitia mawakala wetu wa usafirishaji wanaoaminika. Wasiliana nasi leo uagize kitanda kinachokidhi ubora unaostahili.
 Vitanda Vya Kisasa Vya Mbao Imara – Ubora Unaodumu! Vitanda Vya Kisasa Vya Mbao Imara – Ubora Unaodumu!
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif