recliner sofa set nzima – luxury & comfort!
unataka sebule yako iwe ya kisasa, yenye hadhi na starehe ya kipekee?
dar city furniture tz tunakuletea recliner sofa set nzima yenye muundo wa kisasa, rangi maridadi na starehe ya hali ya juu. furahia kupumzika kwa raha baada ya siku ndefu!
muundo wa kifahari na wa kisasa
recliner kwa starehe ya ziada
muonekano unaopendezesha sebule yako
inafaa kwa familia na wageni
ubora na urembo sehemu moja!
usikose nafasi ya kupendezesha nyumba yako!
piga simu/whatsapp065XXXXXXX