Sofa Ya Kona Yenye Muonekano Wa Kifahari Na Fahari
VIP TOP+
1/3
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 2 yaliyopita
13 maoni
Sofa Ya Kona Yenye Muonekano Wa Kifahari Na Fahari
+1
SofaSofa
Chapa
Sofa au kochi
Aina
Chumba cha kupumzika
Chumba
Chapa Mpya
Hali
Buluu
Rangi
Ndani ya mlango
Mahali pa Matumizi
Mixed Filling
Nyenzo ya Kujaza
Kitambaa
Nyenzo ya Upholstery
Kona
Umbo
Nne
Uwezo wa Kuketi
Mid Back
Aina ya Kiti cha Mgongo
Upholstered Armrest
Aina ya Mshikio wa Mkono
Yes
Udhamini
90days
Kipindi cha Udhamini
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Kinondoni dar es salaam
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-20:00
Sofa nzuri ya kisasa yenye muonekano wa kuvutia na umaliziaji wa hali ya juu. Inafaa kwa sebule za kisasa na hutoa nafasi nzuri ya kukaa kwa familia na wageni. Tunatengeneza na kuuza sofa kwa ubora unaoaminika.
Huduma tunazopatikana:
• Sofa mpya za kisasa
• Kutengeneza sofa kwa oda
• Kubadilisha/kurekebisha sofa
• Uchaguzi wa rangi na vitambaa mbalimbali
• Huduma kwa wateja Tanzania