kabati milango 3 + shoe rack
panga nyumba yako kwa mpangilio wa kisasa na muonekano wa kuvutia!
kabati la milango 3 — nafasi ya kutosha kupanga nguo zako kwa ustaarabu na kuifanya bedroom yako ionekane nadhifu.
shoe rack — panga viatu vyako kwa mpangilio, linda usafi wa nyumba na ongeza mvuto wa eneo lako la kuingilia.
muonekano wa kisasa
mpangilio na matumizi bora ya nafasi
ubora unaokidhi mahitaji ya nyumba yako
keko chang’ombe & sinza legho, dar es salaam
agiza kagua lipia nasi
#wooinvestment #kabati #shoerack #furnituretanzania #homeorganization #daressalaam