tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mbegu na Mbolea
  4. Viongeza vya Kilimo
Dar es Salaam, Kinondoni, 03/06
9 maoni

Max Pig Super Meat [Virutubisho Vya Nguruwe]

+1
Virutubisho
Aina
Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group ujipatie max pig super meat.[Huu ni ukombozi] Max pig ni virutubisho asilia visivyokuwa na kemikali vilivyo andaliwa kisayansi ikiwa lengo kuu kuweza kusaidia nguruwe wako kuweza kupata uzito mkubwa na kunenepa kwa haraka. Virutubisho hivi vinamchanganyiko wa kutosha kama madini, Vitamin, pamoja na probiotics. ■ Faida ya kutumia Max pig super meat. -Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa. -Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi
Max Pig Super Meat [Virutubisho Vya Nguruwe]Max Pig Super Meat [Virutubisho Vya Nguruwe]Max Pig Super Meat [Virutubisho Vya Nguruwe]
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif