tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Vinyweleo vya Chuchu vya Nguruwe
Dar es Salaam, Kinondoni, 21/05
11 maoni

Tunauza Nipple Za Kunyesha Maji Nguruwe

+1
2
Chapa Mpya
Hali
Wanywaji
Aina
Tunauza nipple za kunyweshea maji nguruwe. ||we are selling pig nipple drinker system|| ●call/text/whatsapp ●bei ya jumla 3,500/=kuanzia pc 10. nguruwe anahitaji maji mengi{safi}yakutosha ili kupooza mwili na kukua vyema. nguruwe wako watapata maji safi kutoka kwenye tank au dumu. nguruwe huongeza ulaji endapo atapa maji mengi. ukiweka maji kwenye vyombo nguruwe hukanyaga /huchafua hivyo hupekelea kupata magonjwa ya minyoo&kuhara. nipo zetu huudumia nguruwe 2-3. mahitaji ya maji kwa mnyama; (miezi 3 -lita5) {wanao nyonyesha ni lita 25} [mwaka 1 ni lita 12 |dar es salaam| tunafanya free dellyvery mikoani kote. #pigsnares#pigtoothclipper#pigweighband#pigeartag##pelletmachine#digitacranescale#
Tunauza Nipple Za Kunyesha Maji NguruweTunauza Nipple Za Kunyesha Maji Nguruwe
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif