tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, kilimo na shughuli za mashambani
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine za Kutotoleshea Mayai
Dar es Salaam, Kinondoni, 20/10
22 maoni

Tunauza Mashine Za Kutotoleshea Vifaranga.

+1
4
Chapa Mpya
Hali
Kiangulio ya yai
Aina
Stima
Chanzo cha Nguvu
Tunauza mshine za kuanguliwa vifaranga. (We are selling full automatic egg incubator) ✓zimeundwa na material magumu (hard board) ✓Ni imara sana na hudumu zaidi ya miaka 15. ✓Zinauwezo wa kuangua zaidi ya 97%. ✓Zinatumia umeme kidogo. ✓Zinakuja Zikiwa na hatchery bucket. ✓Zinakuja na torch ya kupima yai kama Lina mbegu. ✓Zina warranty ya miaka miwili. ✓Zinajiendesha zenyewe (Hugeuza mayai/kucontrol joto na unyevu nyevu) ✓zinakuja na ofa ya mayai ya kutest. ✓Utapatiwa ushirikiano 100% mpaka utakapo weza kujisimamia. ✓ Bei Mayai 120 Mayai 264 - Mayai. 362 Mayai 440 Mayai 528 Mayai 1056 Mayai 1584 Mayai. 2112 Mayai 3168 Mayai 4224 Mayai 5280 Pia tunauza vifaa vya incubator. ✓Humidifier. ✓Humidity tube. ✓Motor. ✓Baskect tray za hatchery. ✓Limit switch. ✓Incubator Tray. ✓compture control aina zote.
Tunauza Mashine Za Kutotoleshea Vifaranga.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif