tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine na Vifaa vya Shamba
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 3 yaliyopita
3 maoni

Tunauza Mashine Za Kukatia Midomo Kuku / Debeake Machine

+1
Chapa Mpya
Hali
Nyingine
Aina
Yes
Udhamini
12month
Kipindi cha Udhamini
Wafugaji wenzio wanafanikiwa kwasababu kubwa moja nayo ni " wanaongeza thamani katika ufugaji wao kwa kufuata kanuni na taratibu sahihi za ufugaji" hiki ni kitendo cha kuondoa/kukata sehemu ya ncha ya mbele kwenye upande wa juu na chini wa mdomo wa kuku. mdomo wa kuku una asili ya ncha ambayo inaweza kukatwa kiasi kupunguza ncha yenye madhara ya kutoboa, kurarua na kujeruhi, na kuku akaendelea na maisha kama kawaida. kukata mdomo kwa kuku kumelenga kumfanya kuku asijeruhi wenzake au kutoboa mayai na kuyala. kuku waliokatwa midomo, midomo yao hubaki butu, hivyo hawawezi kutoboana au kula mayai. kuku wasipokatwa midomo ni jambo la kawaida kuona wakimshambulia mwenzao kwa kumtoboa toboa vidonda hadi kufa. kanuni za debeaking/ukataji mdomo wa kuku umri mzuri kukata midomo ya kuku ni miezi miwili hadi mitatu ya umri wao.
Tunauza Mashine Za Kukatia Midomo Kuku / Debeake Machine
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif