tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, 58 min ago
4 maoni

Spray Radius Adjustable

+1
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Hiki ni kifaa kilichopo kwenye sprinklers kinachoruhusu kurekebisha umbali wa maji yanayopulizwa ili kudhibiti eneo la maji kufika pamoja na kuhifadhi maji,husaidia maji kugawika sawa kwenye shamba zima bila kukosa au kupita lakini pia hubadilisha mwelekeo kulingana na mahitaji na kupunguza splash na erosion ambayo ni radius ndogo inapunguza maji kupulizwa kwa nguvu kwenye ardhi laini na kuondoa udongo.
Onyesha anwani
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif