tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
22 maoni

Shading Net

+1
Kivungulio
Aina
Chapa Mpya
Hali
Flat shade net Kuna za size tofauti tofauti hapa ni ya asilimia 75% yenye mita 4m*50m,hii Husaidia kupunguza jua Kali,kulinda miche isichoshwe na jua,kudhibiti joto,kuzuia upepo mkali,kulinda dhidi ya mvua Kali na mawe, kupunguza wadudu na ndege pamoja na kutumika kwenye vitalu ili kusaidia mimea ikue zaidi.
TSh 350,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif