Hizi ni nzuri hutumika kumwagilia katika bustani za nyumbani kumwagilia viwanja kupunguza vumbi na kuoshea magari na madirisha ya Aluminum majumbani, Zinapatikana kwa futi 50 na futi 150 ni ngumu na zinadumu kwa muda mrefu kwa sababu maji yanavyotiririka kutoka kwenye chanzo ndivyo mpira wa maji unavyoongezeka ukubwa na baadae hurudi kwenye hali ya kawaida baada ya maji kusitishwa.