Hapa ni bei ya kutoka Inche mbili kwenda Inche mbili kamili ni nzuri kwa kuunganisha tundu kwenye bomba kuu bila kukata na huwekwa kwenye drip emitters au micro -Sprinkler hata katika bustani za nyumbani ni ngumu,imara na rahisi kwa irrigation systems.