Hutumika kwenye kilimo kwenye mashamba kama vile mahindi, mpunga, ngano, bustani za mboga kama vitunguu, nyanya, kabichi, vitalu vya miche, hutumika katika bustani kama vile nyasi za viwanja na maeneno ya mapumziko, katika mifugo kama vile kupooza mifugo wakati wa joto na kusafisha Banda pamoja na shughuli za viwandani kama vile kupunguza vumbi na kusafisha maeneo makubwa.