tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine na Vifaa vya Shamba
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, 14 min ago
10 maoni

PVC Male Threaded Ball Valve

+1
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Hii ina Inche moja,moja na robo,moja na nusu mpaka Inche mbili ambazo ni vali ya kudhibiti mtiririko wa maji,hutengenezwa kwa PVC hutumika kwenye mfumo wa umwagiliaji na mabomba ya maji kwa kufunga na kufunga,kudhibiti mtiririko wa maji,kutenganisha sehemu za mfumo katika mifumo ya umwagiliaji,kuunganisha fittings zenye male thread ni nzuri na zenye ubora kwa sababu hazitoi kutu,ni nyepesi na rahisi kufunga,hudumu kwa muda mrefu na zinafaa kwa maji safi na mifumo ya umwagiliaji.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif