tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, kilimo na shughuli za mashambani
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine za Kulima
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 17 yaliyopita
4 maoni

Power Tiller

+1
Cultivations
Aina
Chapa Mpya
Hali
Nyekundu
Rangi
Yes
Udhamini
6month
Kipindi cha Udhamini
POWER TILLER. Trekta imara za kulimia kutoka Japan. Hakuna uchawi kwenye maendeleo ya kilimo. Tunatumia vifaa vya kisasa kwenye kilimo kuongeza uzalishaji na ubora Power tiller hii Inafaa kwa kulima mashamba yote Injini yake ni imara yenye uwezo mkubwa, utatumia mafuta kidogo sana kufanya kazi kubwa. Inaokoa muda na gharama za nguvu kazi Kingine mashine hii ni rahisi kwenye kutumia.
Power TillerPower Tiller
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif