tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
Dar es Salaam, Kinondoni, 03/06
12 maoni

Mashine Ya Kutengeneza Chakula Cha Chechenga Chengachamifugo

+1
Chapa Mpya
Hali
Nyingine
Aina
GTunauza mashine za kisasa kwa ajili ya kutengenezea chakula chakula cha mifugo kwa mfumo wa chenga chenga (pellets) ● Bei zetu na uwezo wake kwa saa.● 20kg/hr=150,000/= 100kg/hr=1,kg/hr=1,800,000/= 200kg/hr=2,000,000/= 300kg/hr=3,500,000/= 500kg/hr=4,500,000/= 1000kg/hr=6,500,000/= ■faida za kulisha kuku wako chakula cha chenga chenga ■kuku hupata lishe zote zilizo changanywa kwenye umbo moja. ■huzuia upotevu wa chakula kwani chakula hakimwagiki ovyo. ■kuku hushiba vizuri kwani anauwezo wa kuokota punje zote. ■hupunguza gharama za ulishaji. ■Mashine zetu zote zinakuja na warranty ya mwaka mmoja ■hutumia umeme kidogo ukinunuwa kwetu MIFUGO PLUS tutakupa ofa ya fomular zote bure za chakula pia kwa wale wateja ambao mnahitaji kulipia kidogo kidogo karibuni. Tunaptika Dar es salaam tegeta
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif