tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Nyumba za mimea
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
71 maoni

Leaky Pipe/Seep Hose

+1
1
Mabomba ya Kunyunyiza
Aina
Chapa Mpya
Hali
Hutumika kumwagilia moja kwa moja kwenye mizizi ya mmea,kuokoa maji na kuzuia kupotea kwa kunyunyizia vibaya, kupunguza magugu kwa sababu maji hayaendi maeneo yote,kuhifadhi unyevu wa udongo kwa muda mrefu,kupunguza magonjwa ya majani bila kugusa majani sana, kuhifadhi unyevu wa udongo kwa muda mrefu,inafaa kwa greenhouse, vitalu, mashamba ya mboga mboga,matunda na maua.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif