tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Tillers za nguvu
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
15 maoni

Kobuta Powertiller

+1
Chapa Mpya
Hali
Wapandaji wa Nguvu
Aina
Orange
Rangi
346kg
Uzito
250L
Lita ya Uwezo
Diesel
Chanzo cha Nguvu
11kW
Nguvu
25cm
Kina cha Kufanya Kazi
25cm
Upana wa Kazi
Nne mbele
Kasi ya Gear
14hp
Injini
Yes
Udhamini
12month
Kipindi cha Udhamini
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
DAR ES SALAAM
LILIAN KIBO
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-20:00
Hizi ni mashine za kisasa za kulimia Mashine hizi zinakuja na mataili aina mbili ya chuma na mpila Zinaweza kulima kwenye tope yani mbugani kwa kutumia taili za chuma Zinaweza pia kulima sehem isiyo na tope na taili za mpira Zina ukubwa wa 14HP yenye nguvu Kwa siku zinaweza kulima heka 4-5 bila shida Ni ngum na imara zaidi zenye warranty wa mwaka mmoja Ni made in JAPAN ya kisasa yenye gear box imara sana kwa matumizi ya shambani
Kobuta PowertillerKobuta PowertillerKobuta PowertillerKobuta Powertiller
TSh 9,000,000
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif