tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine na Vifaa vya Shamba
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, 16 min ago
32 maoni

Irrigation Rain Gun

+1
Umwagiliaji vinyunyuzio
Aina
Chapa Mpya
Hali
Hii ni nzuri kwa kusambaza maji kwa umbali mrefu kwa shamba kubwa au bustani,kuzalisha mvua sawa bila kuacha sehemu yoyote kavu,kufanya kazi kwa shinikizo la juu ili maji yafike sehemu za mbali,kuendesha mvua kwa mzunguko kupitia gear system inatumika katika umwagiliaji wa mashamba makubwa ya mahindi,mpunga au majani,bustani na viwanja vikubwa vikubwa vinavyohitaji mvua ya kisasa pamoja na kufanya irrigation kwa mifumo ya umwagiliaji yenye shinikizo la kati hadi juu.Pia ina Inche moja na nusu na inche mbili.
TSh 500,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif