Hii ni nzuri kwa kwa ulinzi wa mazao,kuzuia ndege,wadudu wakubwa na kupunguza upepo,hutumika katika kulinda miche dhidi ya jua Kali,kupunguza joto kwenye greenhouse,kulinda mboga kama lettuce, spinach,hoho nakadharika,lakini pia kuweka mazingira laini ya ukuaji, kuzuia kukauka haraka na kulinda miche michanga.