Mashine ya kisasa ya kutotolesha mayai, inabeba mayai 352 kwa pamoja. (Ni full automatic computer control) Inageuza mayai yenyewe. Ufanisi wake mkubwa . Inamfaa mfugaji mkubwa na mdogo. Ukiwa nahii unauhakika wa kuzalisha vifaranga 300 nakuendelea kila baada ya wiki tatu. Ina body imara inayosaidia kukaa na joto kwa masaa 20 ikitokea umeme umekatika.
Karibuni sana