Hii ni bei ya Inche moja na nusu Hutumika kusambaza maji kwa sare,kuthibiti flow rate ya maji,kupunguza erosion ya udongo,kusaidia mbolea ya maji, kuzuia kuotesha mbegu kwa upole, kupunguza labour cost yaani gharama za wafanyakazi pamoja na kusaidia ratiba ya umwagiliaji,pamoja na hayo hutumika katika vitalu vya miti, hifadhi ya wanyama, kupoza mifugo wakati wa joto Kali na kuzuia moto maeneo ya mashamba na kunyunyizia maji mashambani.