tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine na Vifaa vya Shamba
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, siku 1 zilizopita
48 maoni

Fire Hose Irrigation

+1
Mabomba ya Kunyunyiza
Aina
Chapa Mpya
Hali
Hii ina Inche 2 mpaka Inche 4 ni nzuri katika umwagiliaji kwa sababu inapitisha maji kutoka kwenye water pump kwenda kwenye mazao ili kurahisisha shughuli zote za shambani zinafanyika kwa weledi ili kupata mazao yenye afya bora.Fire hose au mpira wa maji ni mzuri kwa kuzima moto pia, kusafirisha maji kwa haraka kutoka Tank kwenda Tank,Mto kwenda shambani na Borehole kwenda storage.
TSh 240,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif