tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine na Vifaa vya Shamba
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 2 yaliyopita
11 maoni

Egg Base Sprinkler

+1
Umwagiliaji vinyunyuzio
Aina
Chapa Mpya
Hali
Hizi sprinkler ndogo ndogo ni nzuri kwa umwagiliaji wa bustani,vitalu na mashamba madogo kwa sababu inasambaza maji kwa usawa na inaokoa maji pia bei yake ni nafuu na bidhaa ina ubora wa hali ya juu kwa kutumika Katika umwagiliaji wa nyasi, mashamba madogo, mboga mboga kama karoti, mchicha na nyanya.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif