Hii ni bei ya Inche mbili kazi ni kusambaza maji kwa eneo kubwa,kugeuka taratibu, kuthibiti direction ya maji, kupunguza matumizi ya maji kwa umwagiliaji nzuri,kutoa maji kwa nguvu au kwa upole kulingana na pressure na matumizi yake ni kwenye mashamba makubwa kama mahindi, mpunga,miwa,alizeti na katika bustani pamoja na greenhouse kubwa.