tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, 22 min ago
11 maoni

Barbed Elbow

+1
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Ni kiunganishi cha bomba chenye umbo la Kona chenye meno au miiba kinachotumika kuunganisha hose au bomba laini bila kuhitaji nyuzi mara nyingi hutumika kubadilisha mwelekeo wa maji,kuunganisha hose laini kama rubber hose,PVC hose,drip pipe lakini pia inatumika vizuri katika mfumo wa umwagiliaji kwa kuzuia kuvuja na mara nyingi huongezewa hose clamp.
Onyesha anwani
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif