tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine na Vifaa vya Shamba
Imefaulu
Dar es Salaam, Kinondoni, masaa 2 yaliyopita
16 maoni

Adjustable Impact Sprinkler

+1
Umwagiliaji vinyunyuzio
Aina
Chapa Mpya
Hali
Hutumika kusambaza maji kwa umbali mrefu, kudhibiti mwelekeo wa maji kwa umbali mrefu, kufanya kazi kwenye pressure kubwa, kutoa maji kwa usawa na ufanisi na matumizi yake ni katika kilimo, bustani, viwanda na kwenye mifugo kama vile kupooza wanyama wakati wa joto Kali na kusafishia mabanda pamoja na kupunguza vumbi viwandani na kusafisha maeneo makubwa.
TSh 120,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif