Matumizi yake ni katika kilimo yaani kwenye mashamba makubwa ya mahindi, mpunga, ngano, bustani za mboga mboga kama vitunguu, nyanya na kabichi, vitalu vya miche, hutumika katika bustani na lawns yaani nyasi na viwanja, bustani za nyumbani, maeneo ya kupumzika, katika mifugo kupooza mifugo wakati wa joto na kusafisha Banda pamoja na viwandani kama kupunguza vumbi.